?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 2 ?

?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 2 ?

?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 2 ? ?Rashidi alitoka bafuni akiwa na taulo, macho yake yakakutana na Nasra aliyekuwa ameweka mfuko wa nyama mezani. Aliguna kisha akatabasamu kwa kujifanya hana kosa. ? ?“Weeh kumbe mke wangu una pacha na hujaniambia?” ? ?Nasra akamtazama kwa mashaka, “Umemwona Nasma?” ? ?Rashidi alimeza mate. “Sio siri mmefanana hadi nikashindwa kutofautisha. Ila nishavuka daraja, nasubiri maji yapite tu.” ? ?Nasra alimuangalia bila kusema, kisha akatabasamu kwa kutojua alichomaanisha. “Si vibaya, angalau umemjua sasa.” ? ?Rashidi alicheka kwa kubana. “Kweli nimejua... vizuri sana.” ? ?Nasma, aliyekuwa sebuleni, alikuwa kaegemea kochi i akijishika kifua, moyo ukimpiga haraka.

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...