
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL). Bahati nzuri Cyborg aliweza kupitiwa na usingizi na nilikuja kushituka mida ya saa 11 asubuhi na nilipoangalia niligundua kuwa umeme bado umekatika. "Mmmh hapa inatakiwa niamke walau nikazuge kufanya mazoezi huko nje, huyu akishituka lazima atataka kuninyandua" nilijiwazia mwenyewe na sikutaka tena kurudi kitandani sababu nilimjua Cyborg hachelewi kuniomba cha asubuhi. Basi bhana japo kulikuwa na kaubaridi ila niliamua kwenda kufanya mazoezi kwa ajili ya kupoteza mda ili paweze kukucha ile nimefika nje na kuanza kufanya mazoezi Cyborg alifika. "Mmmh!!!! Malaika, wewe tangu lini ukafanya mazoezi asubuhi ivi tena na baridi hii!?" Cyborg aliniuliza na
No comments:
Post a Comment