
PENZI LA MHALIFU 41 Nilishuhudia maajabu mengine kutoka kwa mtoto wa mbunge kwani alitoa madawa ya kulevya na kuanza kuyavuta mbele yangu hapo ndipo nilipopata jibu la kwanini alikuwa akiongea maneno ya aina ile na matusi ya kila aina ambayo mengine siwezi kuyataja. "Sahau kabisa huwezi kunizagamua na ukiendelea kunilazimisha nitakupiga kama mtoto mdogo" nilimwambia sababu kwa jinsi nilivyomwangalia hakuwa na uwezo wa kupambana na mimi. Mtoto wa Mbunge alinisogelea na kushika titi langu la kushoto, na mimi nilianza kumshushia kipigo na ukizingatia alikuwa ametumia madawa ya kulevya, hakuwa na uwezo wa kupambana na mimi. Baadae nilipata upenyo na kuamua
No comments:
Post a Comment