PENZI LA MHALIFU 40

PENZI LA MHALIFU 40

PENZI LA MHALIFU 40 Nilifika na kumkuta mtoto wa mbunge amekaa huku amepiga nne kwenye ofisi ya mkuu tena akiwa anachezea simu yake. "Angel unajua nilichokuitia hapa!?" Mkuu aliniuliza. "Hapana sijui" nilimjibu na aliniambia nikae kwa ajili ya mazungumzo. Mkuu aliniambia kuwa nimempa namba za uongo mtoto wa mbunge na aliniambia kuwa ni kosa kwani mimi ni asikari na sikutakiwa kuwa muongo kwa mtoto wa kiongozi au kwa raia yoyote yule hasa anayehitaji msaada kutoka kwa asikari. Nilibaki nimeshangaa kwa kile alichoniambia na nilijiuliza ni sheria gani hiyo inayomlazimisha mtu agawe namba zake kwa mtu yoyote!? ila nilijifanya mjinga mbele

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...