
PENZI LA MHALIFU 39 Sikutaka kumwambia Cyborg kuwa nimeamua kutumia uzazi wa mpango na iliendelea kuwa siri yangu. Cyborg alizidi kuimalisha biashara yake huku gari ikibaki kwenye mikono yangu na kidogo ilisaidia kunipandisha thamani kwani ata wale asikari wenzangu hasa wakiume waliokuwa wakinisumbua mara kwa mara akiwemo Afande James walipunguza kunisumbua kutoka na mimi kumiliki gari kwani wengi wao walikuwa hawana. Siku moja nikiwa kazini nilimuona mtu niliyepotezana nae miaka mingi iliyopita na hakuwa mwingine bali alikuwa x wangu wa zamani kipindi nasoma aliyekuwa akiitwa Dan. Dan alikuwa ni mwanaume wa kwanza kwangu na kiukweli tulipendana sana na ilifika kipindi
No comments:
Post a Comment