PENZI LA MHALIFU 38

PENZI LA MHALIFU 38

PENZI LA MHALIFU 38 Nilibaki nikimwangalia baada ya Afande James kuondoka. Nikiwa na maasikari wenzangu tuliletewa taarifa za kuhitajika kwenda kwenye tukio la fumanizi. Niliondoka mimi pamoja na asikari wenzangu na tulifika kwenye gest moja na kupelekwa mpaka kwenye chumba kulipokuwa na tukio la kushitusha. Tulifika kwenye chumba namba 03 na kukuta binti wa miaka 23 amegandana na mwanaume mwenye miaka 45, wote walikuwa wakipiga kelele kwa maumivu waliyokuwa wakiyapata. Ilibidi tuanze kuchukua maelezo kutoka kwao na baadae walitutajia namba za wenza wao. Tuliamua kuwapigia na waliahidi watakuja baada ya mda mfupi. Haikupita mda alikuja kijana aliyetambulika kama mme wa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...