PENZI LA MHALIFU 37

PENZI LA MHALIFU 37

PENZI LA MHALIFU 37 Baada ya Afande James kuondoka nilipanga kuvunja uhusiano nae maana niliona hatuendani kabisa. Siku iliyofata aliendelea kuniletea usumbufu nikubali kumpa penzi langu kwa mara nyingine ila nilimwambia haitawezekana tena mimi na yeye kuwa pamoja. Afande James hakukata tamaa ya kuendelea kunishawishi niweze kukubali lakini niliendelea kumchenga Afande James na sikutaka tena kufanya nae mapenzi na hii ni baada ya kugundua kuwa mpaka atumie dawa ya kuongeza nguvu ndiyo aninyandue, sikutaka kabisa kuwa na mwanaume wa aina hiyo. Afande James alipunguza mazoea na mimi baada ya kuona sipo tayari kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili. Nakumbuka

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...