
PENZI LA MHALIFU 32 "Nimekwambia nikiwa na maana ya kuwa unatakiwa uwe makini hapa vinginevyo kwa huo uzuri wako unaweza kusababisha asikari wenzako wakaanza kuuwana wao kwa wao" mkuu aliongea na alinishauri mambo mengine mengi na baadae aliniambia niondoke ila alinisihi niwe makini nisije kuwagombanisha asikari wenzangu. Niliondoka huku nikiwa nashukuru sababu mkuu hakunitongoza na ilikuwa totauti na vile nilivyokuwa nikiwaza. Basi bwana mda wa kazi ulipoisha nilirudi nyumbani na kumkuta mdogo wangu Anna akiwa tayari ameshakuja. nilimkaribisha kwa furaha na kuanza kumuuliza habari za nyumbani. Mida ya jioni ilipofika Cyborg aliweza kurudi nyumbani nae alifurahi baada ya kumuona anna.
No comments:
Post a Comment