
PENZI LA MHALIFU 31 Cyborg aliniambia kuwa ata yeye alishangaa kuona boss wake Salome akitengeneza ukaribu na yeye na ilifika kipindi alikuwa akimruhusu kuondoka na gari lake Cyborg aliniambia ndiyo sababu iliyopelekea yeye na Afande Joel wawe kwenye ugomvi. "Basi kama ni hivyo sitaki kukuona tena ukitengeneza mazoea na huyo boss wako sababu mda wowote ule mnaweza kuzagamuana" nilimwambia kama yeye alivyokuwa akinikataza kuwa karibu na asikari wenzangu wa kiume na mimi sikutaka kumuona akiwa karibu na boss wake lakini Cyborg alinihakikishia hakuna chochote kile kilichokuwa kikiendelea kati yao. Baada ya kuniambia hivyo nilikumbuka kitu na kuamua kumuuliza. "Kwanini ile
No comments:
Post a Comment