PENZI LA MHALIFU 30

PENZI LA MHALIFU 30

PENZI LA MHALIFU 30 Cyborg alianza kumwambia mambo mengine mengi aliyokuwa akiyajua yeye na kumbe kipindi wao wanaongea boss wao alikuwa nyuma yao akisikiliza mazungumzo yao. Baadae alikohoa na kuwafanya wageuke nyuma na kusitisha kile walichokuwa wakikizungumza.. "Endeleeni tu na maongezi yenu" boss wao aliwaambia ambae ni mchepuko wa Afande Joel na Cyborg hakutaka kusitisha mazungumzo yao zaidi ya kuendelea kuongea. Mda wa kazi ulipoisha Cyborg alirudi nyumbani na alipofika alinisimulia kila kitu kilichotokea kazini kwao. Sikutaka kujali kile alichoniambia kwani niliona ni mambo ya kawaida tu. Basi Cyborg alipoenda kazi siku iliyofata alishangaa kuona akichangamkiwa na boss wake ambae

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...