
PENZI LA MHALIFU 27 TULIPOISHIA..... Kiukweli nilikuwa njia panda na nilishindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye gest kwa ajili ya kuzagamuana na Afande Joel ili milion 4 ziendelee kuwa kwenye mikono yangu au niache kwenda kwa ajili ya kulinda heshima ya ndoa yangu na Cyborg. TUENDELEE...... Basi niliamua kufikiria ni wapi tulipotoka mimi pamoja na Cyborg wangu hivyo niliona nitakuwa namkosea kama nitaamua kumsaliti. Nilichukua pesa alizonipatia Afande Joel na kwenda nazo kwenye gest aliyonielekeza. Nilivyofika sikutaka kuingia ndani ya gest bali nilichukua simu yangu nakumpigia. Nilimwambia aje tuonane nje ya gest na Afande Joel alikuja huku akiwa na furaha
No comments:
Post a Comment