PENZI LA MHALIFU 26

PENZI LA MHALIFU 26

PENZI LA MHALIFU 26 Niliamua kumwambia Afande Joel "Asante kwa kunipenda Afande Joel ila naomba heshima ichukue nafasi yake sababu tayari nipo kwenye ndoa nazani wewe mwenyewe unafahamu" Niliongea nikiwa na uhakika Afande Joel nimwelewa na nitofauti na alivyokuwa Afande Davi. "Naelewa kuwa upo kwenye ndoa ata mimi pia nipo kwenye ndoa Angel, nipo tayari kukupa mshahara wangu wote nitakaoupata ila naomba walau mara moja tu unipe penzi lako" Afande Joel aliongea kwa msisitizo. "Sipo tayari kuzagamuliwa na wewe Afande Joel na siku nyingine ukiniita kwa ajili ya kuniambia ujinga wa aina hii sitaitikia wito wako" niliongea na baadae niliamua

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...