PENZI LA MHALIFU 22

PENZI LA MHALIFU 22

PENZI LA MHALIFU 22 Siku tatu zilipita bira Cyborg kuniambia chochote kile kilichokuwa kikiendelea na ata sisi kituoni tulikuwa tumeshaanza kulipotezea tukio hilo na kuendelea na majukumu mengine. Siku ya nne nikiwa kazini Cyborg alinipigia Cm na kuniambia niende na Asikari wenzangu kwani ameshajua ni wapi wanapoishi magaidi waliofanya tukio la mauaji, sikuamini sababu nilihisi kama ananitania ila alinisisitizia nifanye haraka kabra mambo hayajaharibika. Nilienda kuwajulisha asikari wenzangu na moja kwa moja tuliende sehemu aliyotuelekeza Cyborg na kubahatika kumkuta. Afande Joel alishangaa kumuona mme wangu na hakuamini kama ndiye aliyeamua kutusaidia bira kujua kama Cyborg ameamua kunisaidia mimi ili asikari

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...