PENZI LA MHALIFU 21

PENZI LA MHALIFU 21

PENZI LA MHALIFU 21 ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA....  Cyborg alinivulisha nguo zangu nakunibeba kunipeleka bafuni kwa ajili ya kwenda kuniogesha. Siku hiyo alitaka kunifanyia mambo ambayo hakuwahi kunifanyia tangu tumeoana. TUENDELEA.... Cyborg aliniogesha na kunifanyia kila aina ya michezo ya kunitekenya kwa ajili ya kunipa furaha. Hiyo siku nilienjoy kuwa kwenye ndoa na Cyborg kwa kile alichokuwa akinifanyia. Mimi na Cyborg tuliendelea kufurahi na kuogeshana pamoja lakini tukiwa tunaendelea kuogeshana nilisikia simu yangu ikiita. Nilitaka kunyenyuka kwa ajili ya kwenda kupokea simu ila Cyborg alinizuia nakuniambia. "Haina haja ya kwenda kuipokea hiyo simu Malaika, huu ni mda wa sisi kufurahi" Cyborg

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...