
PENZI LA MHALIFU 19. Baada ya kumwambia Cyborg aliniambia nimuachie yeye atajua atakachokifanya. Sikujua Cyborg amepanga kufanya kitu gani. Siku hiyo ilipita na siku iliyofata Cyborg aliamka asubuhi na mapema bira kuniambia alielekea wapi. Upande wangu nilisubiri mda wa kazini ufike ili niweze kwenda kazini. Hatimae mda ulifika wa kwenda kazini, niliondoka na siku hiyo tulishangaa asikari karibu wote kutokumuona mkuu wetu kazini baada ya mda wa kazi kuisha pasipo mkuu kuonekana. Sikutaka kuwaza sana sababu kwa upande wangu ilikuwa ni furaha na nilitamani asiwe anakuja kazini ili niwe naishi kwa amani, niliamua kurudi nyumbani nakuendelea na ratiba zangu. Cyborg
No comments:
Post a Comment