PENZI LA MHALIFU 18

PENZI LA MHALIFU 18

PENZI LA MHALIFU 18 Kiukweli nilikuwa kwenye wakati mgumu kwa wakati huo kwani nilihisi lazima atagundua kuwa nimetoka kufanya mapenzi mda mfupi uliopita. "Tulia kwanza mme wangu nataka nikaoge alafu baadae nije nikufanyie mambo ambayo sijawahi kukufanyia" nilimwambia ila kama ilivyokawaida ya Cyborg akishaanza kupandwa na hisia ni ngumu kumzuia bado aliendelea kunishika kwa ajili ya kupandisha hisia zangu. Siku hiyo sikuwa na hisia kabisa kutokana na mawazo niliyokuwa nayo hivyo sikutaka kumpa nafasi ya kuendelea kunishika kwani lazima angehisi kuwa nimetoka kufanya mapenzi. Nilimtuliza kwa kumwambia asiwe na haraka na nipo kwa ajili yake. Cyborg alikubali kishingo upande na

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...