
PENZI LA MHALIFU 17. Hiyo siku sitaisahau kwani milion 3 zilinifanya niwe na ujasiri ambao kwa mwanamke mwingine ingekuwa ngumu kuwa nao. Cyborg alivaa kondomu nakuanza kumshughulikia mke wa mkuu wangu na kiukweli Cyborg alikuwa akijua kufanya mapenzi kwani alimfanya mke wa boss wangu mpaka akalidhika mwenyewe na baada ya kumaliza Mke wa mkuu wangu alienda kuoga na baadae alijiandaa kwa ajili ya kuondoka ila niliamua kumwambia. "Iwe mwanzo na mwisho kutembea na mme wangu nazani utakuwa umenielewa" "Ndio nimeelewa na asante kwa kukubali kunisaidia" alijibu nakuondoka. Tulibaki sisi wawili huku Cyborg akiwa ananiangalia kila mda maana hakuamini kwa maamuzi
No comments:
Post a Comment