
PENZI LA MHALIFU 16 Siku mbili zilipita mimi nikiwa naishi kwenye nyumba ya wageni, na kila nilipokuwa nikienda kazini mtoto nilikuwa namuacha kwenye mikono ya mhudumu wa gest aliyekuwa akiishi kwenye gest hiyo. Upande wa kazini kwangu mkuu alikuwa haachi kuniambia kuwa nimwambie Cyborg aache kutembea na mke wake bira kujua kama tayari siishi pamoja na Cyborg. Siku mbili zilipita na mwili wangu ulianza kupatwa na hisia za kufanya mapenzi baada ya kupita mda mrefu kidogo bira kushiriki tendo la ndoa kwani mwili wangu ulikuwa umeshazoea kufanya mapenzi karibu kila siku. Siku hiyo nilirudi kwenye hoteli niliyokuwa nikiishi na nilipoenda kuchukua
No comments:
Post a Comment