
PENZI LA MHALIFU 15. Nakumbuka ilikuwa siku ya jumatano, siku hiyo nilikuwa kazini kwenye ofisi niliyokuwa nikikaa mimi pamoja na Afande Neema. Kwenye chumba hicho cha ofisi yetu Afande Neema hakuwepo zaidi ya mimi peke yangu nilikuwa nimekaa mwenyewe tu. Nilisikia mtu akigonga mlango na kabra sijaenda kufungua aliingia Mkuu wetu na moja kwa moja alinifata mpaka nilipokuwa nimekaa. Mkuu baada ya kunifikia alianza kunikumbatia huku akitumia nguvu, kitu kilichoanza kuniogopesha kwani mlango hakuufunga baada ya yeye kuingia kwenye ofisi yetu na mtu yoyote kama angetuona basi lazima angehisi natoka nae kimapenzi. "Unakichaa mkuu!?" nilimwambia lakini bado alizidi kunikumbatia huku
No comments:
Post a Comment