PENZI LA MHALIFU 14

PENZI LA MHALIFU 14

PENZI LA MHALIFU 14 Asikari wengi wa kike na baadhi ya wanawake waliokuwa wanakuja pale kwa ajili ya kuleta kesi zao, wengi wao walikuwa wameshafanya mapenzi na mkuu wetu na alikuwa akitumia cheo chake kwa ajili ya kuwazagamua. Siku moja yakiwa ni majira ya usiku, nikiwa ndani nikiangalia tv pamoja na mfanyakazi wangu tulisikia sauti ya mwanamke nje akibisha hodi. Mfanyakazi alienda kufungua na baadae aliingia binti mwenye miaka isiyopungua 27 akiwa kabeba mkoba mdogo begani kwake. Binti huyo alinisalimia na baadae aliniuliza kama hapo ni nyumbani kwa Cyborg na mimi nilimjibu hajakosea kwani ndiyo kwake hivyo nilishangaa kumuona akikaa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...