
PENZI LA MHALIFU 13. Baada ya mda sikuweza kuisikia sauti ya Cyborg tena kwani tayari alikuwa ameshaondoka. niliamua kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini. nilipomaliza niliondoka kwa ajili ya kwenda kuungana na asikari mwenzangu. Kiukweli hiyo siku nilikereka sababu hakukuwa na kazi yoyote ya maana zaidi ya kuzunguka na kupigwa baridi tu usiku huo, nilikiri wazi kuwa mkuu kama kunikomesha aliamua kunikomesha kwani baridi lilikuwa linanipiga kisawa sawa na nilitamani mda huo ningekuwa pembeni ya Cyborg wangu. Basi nilikaa pamoja na asikari wenzangu mpaka majira ya saa 11 alfajiri ndipo tulipoamua kurudi kwenye makazi yetu. Nilifika nyumbani na kushangaa kwa
No comments:
Post a Comment