PENZI LA MHALIFU 12

PENZI LA MHALIFU 12

PENZI LA MHALIFU 12 Jamani nilikuwa kwenye wakati mgumu kwa kipindi hicho na yote yalisababishwa na mkuu wangu wa kazi, kuna mda nilikuwa nikijilaumu kwa jinsi mungu alivyoniumba maana ndiyo sababu ya yote hayo kutokea. Nilijiuliza mbona wenye K wapo wengi tu kwanini boss atake ya kwangu peke yangu na asitafute K zingine?. Kiukweli wapenzi wasikilizaji nilichukia kuwa na umbo na sura ya kuwavutia wanaume. Nikiwa kwenye mawazo mda huo huo mkuu wetu alikuwa akiingia kituoni na alipita sehemu niliyokuwa nimesimama na kuniangalia pasipo kuzungumza chochote ata nilipompatia salama hakuipokea kabisa. Sikutaka kuhangaika nae bali niliamua kwenda kwenye ofisi yangu

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...