
PENZI LA MHALIFU 11. Nilitoka ndani ya chumba hicho nikiwa na hasira na nilivyofika nje nilimkuta mkuu wangu kwenye gari akihangaika kubadilisha nguo kwa kuvua nguo zake za kazi, moja kwa moja nielewe kuwa ulikuwa ni mpango na hakukuwa na kazi yoyote ile iliyokuwa inatakiwa ifanyike. Mkuu alishituka kuniona sababu hakutegemea kuniona mda huo hivyo aliamua kuniuliza. "Mbona umerudi sasa ivi umeshakamilisha kazi!?" Baada ya yeye kuniuliza na mimi kwa dharau niliamua kumjibu. "Kazi ya kuja kunibaka sio!?" Jibu langu kwake aliona kama dharau hivyo alichukua mfuko uliokuwa na sare zangu za kazi nakuamua kunitupia bira kunipa nafasi ya kuingia
No comments:
Post a Comment