
PENZI LA MHALIFU 10 Kiukweli sikuwa na amani kwani niliamini kitumbua changu kipo kwenye hatari ya kuliwa mda wowote ule na mkuu wangu wa kazi, kuna mda niliwaza nimtafute Cyborg ila moyo mwingine uligoma kabisa kwa kuhisi nitazidi kuongeza matatizo. Mimi na mkuu wangu wa kazi tuliweza kufika sehemu husika na aliniambia niteremke kwenye gari na mimi nilifanya kama alivyoniambia. Tulielekea mpaka kwenye nyumba moja ya kawaida na Mkuu wangu aliingia kwenye chumba kimoja wapo huku akiniambia nimfate kitu ambacho sikutaka kufanya kabisa. Nilisimama mlangoni na kugoma kuingia kwenye chumba hicho ndipo mkuu alipokasirika nakuongea. "Acha ujinga wewe hapa upo
No comments:
Post a Comment