
PENZI LA MHALIFU 09. Upendo ndani ya ndoa yangu uliongezeka na kuwa wa kipekee zaidi, tangu mara ya mwisho nimuone Cyborg akivuta bangi sikuwahi kumuona tena akivuta bangi hali iliyonifurahisha zaidi. Siku kadhaa zilipita na kwenye kituo changu cha kazi kulitokea mabadiliko na hapo ndipo kimbembe kingine kilipoanzia kwani mkuu wetu wa kazi aliyekuwepo mwanzo alibadilishwa na kuletwa mwingine aliyekuwa akiitwa Robert. Akiwa ana siku mbili tu kwenye kituo chetu alituitisha kikao na tulipokuwa kwenye kikao nilishangaa kuona akiniangalia kwa macho ya matamanio huku akichezesha miguu yake nahisi alikuwa ameshasimamisha tayari. Alitupa utaratibu mpya wa kazi na baada ya kikao
No comments:
Post a Comment