
PENZI LA MHALIFU 03 Tulifika nyumbani nikaamua kumuuliza Cyborg ni wapi alipolala usiku wa jana nae alinijibu. "Jana nilipata dili la usiku kipenzi ndiyo maana sikurudi nyumbani" "Dili gani hilo la usiku au uliwakumbuka malaya zako wa zamani na uliamua kulala huko huko" nilimwambia sababu tayari nilikuwa na wivu dhidi yake hasa wa kulala nje. Sijui Cyborg alinipa nini kwani upendo niliokuwa naye kwake ulikuwa ni wa kipekee ndiyo sababu iliyonifanya nikubali kuolewa nae. Cyborg badala ya kunijibu kile nilichomuuliza alinisogelea karibu na kushika kiunoni changu. Mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda kasi. "Hakuna malaya anayeweza kufikia utamu wako mke
No comments:
Post a Comment