
PENZI LA MHALIFU 01. ilibaki miezi michache ili niweze kujifungua na kiukweli mme wangu Cyborg alikuwa akinijali na kunipenda. Nilikuwa nikisikia raha kwa upendo aliokuwa akinionyesha nakujiona ni mwanamke ninayependwa zaidi dunia nzima. Siku hiyo nilikuwa nimekaa na Cyborg, mikono yake ililipapasa tumbo langu na alilibusu na kuniambia. "Unajua nini! Malaika! ukishajifungua nataka nikutie tena upate mimba nyingine" Cyborg aliniambia huku akiendelea kupapasa tumbo langu na kunishika sehemu zingine za mwili wangu. "Mimi tayari nimeshakuwa mke wako haraka ya nini mme wangu?" Nilimjibu maana sikutaka kuzaa kwa mkupuo kama alivyokuwa akihitaji. "Nataka tuwakomeshe wachawi wa penzi letu hasa Afande Davi
No comments:
Post a Comment