
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia sehemu iliyopita........ Na alimweleza siku inayofata asubuhi na mapema anatakiwa afike katika kampuni iyo ya FNF kwa ajili ya kuanza kazi na hiyo ikawa kama bahati nyingine kwa mwanadada Angelina...... ENDELEA NAYOO.... Baada ya kukaa kwa mda mrefu Mwanamama katalina aliamua kumuaga Beatrice nakuondoka akiwaacha mama na mtoto wakiwa kwenye maongezi hasa Angelina aliyetamani kujua mama yake amefahamianaje na Mwanamama katalina, "Mama naomba unipe stori ya wewe kumfahamu katalina", Angelina aliongea,nae Beatrice hakutaka kumficha mwanae, "Mwanangu mimi na katalina tulikuwa marafiki wakubwa sana kipindi tunasoma na wote tulisoma shule moja na kipindi cha ujana
No comments:
Post a Comment