
Chaka Chaka alizaliwa Dobsonville huko Soweto. Akiwa ni mtoto wa kwanza wa kiafrika kuonekana kwenye televisheni Afrika Kusini. Mwaka 1981 "Sugar Shack" Chaka Chaka alianza kuimba akiwa na miaka 19 mwaka 1985 wakati Phil Hollis wa Dephon Records alimgundua mjini Johannesburg.Muda mfupi baada ya albamu yake "I'm in Love With a DJ", kuuzwa nakala 35,000, wimbo huo ulikuwa umependwa mara moja. MOJA KATI YA WIMBO WA CHAKACHAKA MAMALAND NAUPENDA SANA Nyimbo kama "I'm Burning Up", "I Cry for Freedom", "Makoti", "Motherland" na iliyopendwa, "Umqombothi" mara moja zilihakikisha hali ya Chaka Chaka's sasa kama nyota kwenye sekta ya muziki huko Afrika
No comments:
Post a Comment