NILIVYOKULA KUKU NA MAYAI YAKE

NILIVYOKULA KUKU NA MAYAI YAKE

NILIVYOKULA KUKU NA MAYAI YAKE??? *SEHEMU YA 01----05* Mpyaaaa?? *ipo Full* ???? Onja Vipande Vitano kwanza ???)* ****** "grrrrrrh grrrrh!" simu yangu ya mkononi iliita nikiwa usingizini nikafumbua macho na kuivuta na kupokea bila hata kuitazama vizuri, yote kwa sababu ya uchovu na usingizi ulionijaa machoni "nani tena huyu asubuhi asubuhi?" nililalamika nikijua mtu amenipigia na ndipo nilipoona kimya wakati simu ipo sikioni ikabidi niitazame vizuri na kugundua kumbe wala sikupigiwa na mtu yeyote ila ni alarm niliyoitegesha mwenyewe kuniamsha ili niwahi kwenye mihangaiko yangu ya kila siku ya kunipatia riziki na isitoshe nimeajiriwa kwenye ofisi ya watu na tena

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...