MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6 Sehemu ya 01 na 02 Sehemu ya 01 Vijana wawili Said na Abiola walikuwa wanakatiza katika mitaa ya Madale Mkoroshini ambapo walikuwa nyuma ya mtoto wa kike aliyekuwa anatembea mwendo wa maringo huku mkononi akiwa ameshikilia mfuko uliojaa viungo vya chakula maana alitoka sokoni Sikioni alijiwekea Earphones za Apple huku akisikiliza kawimbo taratibu "Zakia ee, Zakiiii" Aliita Abiola ambaye alikuwa nyuma kidogo ya binti huyo Hata hivyo kutokana na binti kuvalia Earphones, ilipelekea kutosikia pindi anaitwa hivyo hakuitika "Mfuate, acha uoga" Alisema Said huku akimsukuma Abiola aweze kumuwahi binti yule Abiola alijikaza kisabuni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...