
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 16 Aisee sikuweza kuimalizia hii sms nikakaa chini kama mzigo,,,, Nilipata mstuko wa moyo nikatamani niende nikachomoe hata yale madrip aliyowekewa ili afie mbali lakini nilishindwa ,nikaona machozi yananitoka tu yenyewe, ndugu msomaji usiombe uwambiwe ukweli wako yaani kitu chochote chenye ukweli kinaumiza sana moyo, Nilimuwaza sana mtoto wangu jinsi alivyompole wala sio muongeaji tena nampenda sana kama mwanangu eti leo naambiwa sio mwanangu , roho inaniuma sana mwenzenu, Kuna nesi alikuja akanikuta nimekaa tu pale chini akaniuliza kulikoni wala hata sikumsikia ,nilikuwa mbali sana kimawazo ,niliona jinsi wanawake
No comments:
Post a Comment