
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 15 Nilimwangalia mke wangu alivyokonda na nikaona ngoja nifanye maamuzi ya kiume tu LIWALO NA LIWE, Nikasogea pale mbele na nikatoa maelezo yangu , na maelezo hayakutofautiana sana na mke wangu , hakimu akaniuliza kwanini uliamua kumdanganya mkeo,? Nikamjibu ni kwasababu nilikuwa na mpenda sana na nilitaka kuona kama na yeye ananipenda na anaweza kunivumilia kipindi sina pesa ? Yule Hakim akasema kabla hatujatoa maamuzi kakae tumsikilize mlalamikaji , yule mlalamikaji akaanza kutoa maelezo jinsi ilivyokuwa , akasema alimtongoza mke wangu na mke wangu akamkubalia wakawa wapenzi ,akamuuliza mke
No comments:
Post a Comment