
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 14 Jamani mwambieni mume wangu anisamehe jamaaniiiii uuwiiii,, Aliongea mke wangu huku akilia ,akapelekwa mahabusu , sasa tukabaki mimi na afande tukaangaliana na tukacheka, nikamwambia afande unajua lile busu limenisisimua yaani sikutarajia kabisa , afande akacheka akanitania akaniambia kwani mkeo hakupagi vitu kama hivi ,?nikamjibu aah sasa hivi sina hata hamu ya kumuona yaani sijui kwanini , yule afande akasogeza kiti karibu halafu akaniuliza unajua nimefanya vile kwa sababu gani ,? Nikamjibu sijui akaniambia kwa kuwa nakupenda , nikamjibu nikamwambia acha utani bana mi nilijua tunafanya vile kumkomoa mke
No comments:
Post a Comment