
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 13 SHUUUKA CHINIII,,,! nikamuona bado anasua sua nikamwambia utaniuzi shuka chini unanichafulia gari langu , mke wangu akasema lakini nimekuja na mtoto , nikashangaa nikamwambia yuko wapi akanioneshea na kidole ,kweli nilimuona mwanangu akiwa kando ya nyumba nyingine iliyoko pembeni ya ile nyumba ninayojenga , Nilishuka nikatembea nikam beba mwanangu huku nikimuuliza kwanini umekuja na mama huku,? Akaniambia mama aliniuliza baba yako anaendaga wapi nikamwambia kuna nyumba anajenga tulishawahi kuja akaniambia tuje tuione ndo tukaja , Sikumlaumu sana mwanangu , nikam beba na kumuingiza kwenye gari , Sasa nikashindwa
No comments:
Post a Comment