
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 11&12 Nilinyanyua shoka nikataka kumpiga nalo yule jamaa , yule jamaa akalidaka lile shoka na kunipokonya halafu akanisukuma nikaanguka pembeni, mke wangu akawa anacheka tu na kusema mtu mwenyewe huna nguvu halafu unataka kupigana hahahaaa, nilikasirika nikanyanyua jiwe yule jamaa akaniwahi na kunizaba makofi akanipokonya jiwe na kulitupa ,niliumia sana kwani nilikuwa nanyanyasika mbele ya mke wangu halafu mke wangu anacheka tu, Nikaingia ndani huku nimejiinamia tu maana ingekuwa mchana watu wangeniona sijui ingekuwaje , lakini sikufika ndani nikajiona mjinga kuingia na kumuacha mke wangu nje tena akiwa na
No comments:
Post a Comment