NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3        SEHEMU YA   10

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 10 Tuliangaliana na afande akanipiga busu la shavuni kisha akaniambia lete hiyo simu niipokee, Nikamwambia hapana ngoja iite mpaka ikate, nilianza kuhisi vitu fulani kama vya upendo hivi kwa afande ,maana ni kama alikuwa anafurahi zaidi vile tunavyomkomesha mke wangu , na yale mabusu daah , japo nilikuwa najihisi Raha kupigwa busu lakini kwa upande mwingine nilikuwa naona kama nazidi kujiweka mbali na mke wangu , Sim iliita ikakata mke wangu akapiga tena ikaita mpaka ikakata alipiga kama mala sita lakini sikupokea mpaka akaacha kupiga ,afande akasema hapo lazima

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...