
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 Sehemu ya 03 Nilisoma harakaharaka hapo ndipo nilipochanga nyikiwa nikajikuta na tetemeka mikono, Kwanza sikuamini kama mke wangu angeweza kufanya vile , nikajiuliza mbona ni muda mfupi tu , yaani tokea nimwambie NIMEFUKUZWA kazi ni wiki ya 3 tu , leo nakuta meseg chafu mesegi inayoniliza , mke wangu kafanya mapenzi ,yaani kanisaliti ,unajua sikuamini , ile mesegi ilipita kwenye kichwa changu kama muvi ya kutisha , ASANTE BEBY KWA PENZI TAMUU !???? Hyo mesegi ilijirudia rudia kichwani , nilijikuta nalia aisee ,! Msomaji nakwambia kweli mapenzi yanauma ,nilipandwa na hasira
No comments:
Post a Comment