
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI, KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3, sehemu ya , , 1____2 Dunia imebeba mengi sana achana na majumba na magari pamoja na miti na watu wake , kuna vingi vimebebwa ndani ya mioyo ya watu , kuna Siri nzito zimejificha ndani ya moyo wa mwanadamu , Nasema hivyo kwa kuwa yamenikuta mwenzenu , nilipojaribu kuupima uvumilivu wa mke wangu kipindi cha shida , sikujua kuwa binaafamu anapande mbili , na kila upande haufanani hata kidogo, Nilioa miaka mi4 iliyopita tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume , mimi namke wangu tuliishi kwa kupendana sana na nikampa mtaji wa
No comments:
Post a Comment