
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 07&08 Sasa badala nijitetee nikajikuta napiga magoti na kumwambia mke wangu,naomba unisamehe, wale polis wakasema aisee nyanyuka unatupotezea muda, Nikapiga magoti na kumshika mke wangu miguu nakumwambia mke wangu angalia mtoto wetu anaumwa nawewe unaenda kazini sasa mi ukinipeleka huko polis mtoto atabaki nanani , Mke wangu hakunisikiliza ndo kwanza akasema mpelekeni mi nakuja ,wale polis kweli wakanipeleka kituon , niliwekwa ndani kama mwizi , nilikaa mule kituon nakujiona mi ni mpuuzi sana , nilianza kumchukia mke wangu na nikamuona ni mwanamke katili sana , kwanza nilimfumania na mesegi
No comments:
Post a Comment