NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3          SEHEMU YA  17

NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 17 Naombeni ushauri jamani sijui nimsamehe lakini nishampenda afande na sijui kama hii mimba ni yangu, Niliingia ndani nikawaza huku nimejiinamia kichwa kilikuwa kimejam kabisa , ikabidi nipige mahesabu ya miezi miwili iliyopita Nakumbuka nilifanya nae mapenzi mala moja tu tena Nakumbuka ni mimi ndio nilimlazimisha na ni miezi miwili iliyopita , sasa je hii mimba ni yangu kweli au ni fix tu ,? Nakwann hakuniambia mapema ? Niliwaza sijapata jibu nikampigia afande ili aje maana nilikuwa sijielewi , Afande akaja na akamkuta bado mke wangu yupo nje na

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...