
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 09 Aliongea vile huku akileta mdomo wake ugusane na mdomo wangu sasa mke wangu akatukuta tukiwa kwenye hali ile,, Mke wangu akastuka akasimama huku anatutazama , alionekana anawasiwasi maana nilimuona ametoa macho, Sasa yule afande nae akajifanya kama hajamuona maana tuligusanisha midomo tu huku tumekumbatiana lakini gafra tu akatoa ulimi wake na kuutumbukiza mdomoni kwangu , nikajitahidi kutaka kuutoa maana niliona kama mke wangu anapandwa na hasira, sasa wakati nahangaika kujitoa ndivyo yule afande alivyozidi kuuingiza ulimi wake sasa nikajikuta namimi namkumbatia , mke wangu hakuvumilia akaja mbio na
No comments:
Post a Comment