*NDOA YA MKATA.BA ILIVYONIPA MUME* *1-4* *

*NDOA YA MKATA.BA ILIVYONIPA MUME* *1-4* *

*NDOA YA MKATA.BA ILIVYONIPA MUME* *1-4* *_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Maisha ya Mtu yapo mikononi Mwa Mungu, haijalishi upo kwenye hali gani lakini Wakati wa Mungu ukifika basi hakuna mtu anaweza kufunga milango yako ya baraka. Kwa mambo ambayo Mungu amenitendea, Nina uwezo wa kusimama na kujigamba kwa kila hali, Nina uwezo wa kumtukuza Mungu kwa kuongea na kuimba. Kwanza kabisa naomba mjue Kuwa naitwa BINTA binti wa afu mbili hapa, nimelelewa na single daddy, najua wengi mmezoea kuona single mama lakini mimi nimelelewa na singl daddy. Sababu ya Mimi kulelewa na single daddy ni baada ya mama yangu kutoloka

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...