NASEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA SITA 06, 07,

NASEMA KWA MAMA*  *SEHEMU YA SITA 06, 07,

????NASEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA SITA 06, 07, Endeleanayo..... * * Dokta alibaki anafikicha tu Macho baada ya kuona baadhi ya picha zake za uchi akiwa na Frenk kwenye ile Lodge.. **** **** Dokta alisimama na kuzitupa zile picha mezani huku anaendelea kusoma ule ujumbe alioandikiwa. "" "Katika hili usije kujidanganya ukaja na jeshi la polisi ili unikamate. Hautofanikiwa, na endapo utamkamata mmoja ujue kuna wengine wawili nyuma na watasambaza kila kitu na kukichafua kabisa hospitali yako.. Kulinda heshima na hadhi yako kwenye mji huu wa Moshi na Moureen hospital iwe kubwa tafadhali jitahidi ndani ya siku tatu hizo pesa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...