
????SEHEMU YA TANO 05* NASEMA KWA MAMA ***** ***** "" "" "Dada mimi naogipa kulala mwenywe... Nimestuka usingizini alafu sikuoni. Bahati yako taa ilikuwa inawaka... Ningelia mimu leo... Aliongea Mariana mdogo wake dayana.. Nilishusha pumzi na kuvuta shuka upesi kujifunika.... " "" "Heeeeee... Jamani dada hamana haya mnafanya tabia mbaya jamani. " "" "NASEMA KWA MAMA" "" ilikuwa kauli ya Mariana huku anarudishia mlango ili anende kwa mama yake... Kwa haaraka nilimsukuma Dayana awahi kumzuia mdogo wake ili habari zile zisije kufika kwa mama yao, kwasababu ingekuwa ni balaa lingine tena.. Dayana aliwahi na kumshika mkono mdogo wake na kuingia
No comments:
Post a Comment