
????NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 30, 31, 32, Endeleanayo..... * "" "" "Mwanangu. Lidya naomba tuondoke hapa..... Yule mzee alietoka humo ndani ni mzee hatari sana. Ndiye aliniteka na kuagiza watu wake wanibake na kwenda kunitupa porini..... Sikutaka anione jamani..." "" uuuuuhhhhhhhh.. Naomba tuondoke.... Aliongea Mama yake Dayana na kumshika Lidya mkono kisha kuanza kushuka ngazi za kituoni kwa kasi sana..... * * Walishuka hadi chini na kupanda tax kurudi nyumbani kwa lidya... Tax ilitembea kwa mwendo wa haraka sana.. Ndani ya dakika chache tu walikuwa wanakaribia kabisaa maeneo ya nyumbani kwake. Lidya aliangalia mbele na kuona kama kuna watu
No comments:
Post a Comment