
????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya tatu ???? Alafu robyson anaenda kufungua mlango ajui mimi naogopa nini, Dah yani....???? Wakati anafungua mlango uku mimi sms inaingia ya mume wangu inasema, ( Mke wangu nipo bagamoyo ila naenda tanga saizi yani kazi juu ya kazi nitakutumia pesa kesho mchana ilove mke wangu) " Mimi moyoni nikawa na amani mume wangu katoka eneo hili nikamjibu, Ilove 2 mume wangu. " Mara robyson anaongea na muhudumu. " Kaka simu ya mezani imeharibika kama utataka huduma ya chakura utatumia namba hii samahani kwa usumbufu. " Sawa nimekuelewa. " Robyson akarudi akanishika mashavu yangu ya
No comments:
Post a Comment