
SEHEMU YA 23, 24 na 25* ?NASEMA KWA MAMA "" "" "" Mamaaaaa... Alianza kuonga Mariana lakini muda huo dada yake alikuwa anafika kutoka chumbani.... "" "" "" Mamy.. Mariana alijikwaa akashtuka kidogo mguu, lakini kwasasa anaendelea vizuri, nilimpaka dawa ya kujichua na kumkanda na maji ya moto.. Alidakia Dayana na kuongea... Nilishusha pumzi la hofu na kumtazama tena mariana.. Alitabasama na kusema.... "" "" Ndio mamy.. Kweli nilianguka.. Aliongea mariana na kushikwa mkono na dada yake kurudi chumbani.. "" "" "Haya. Karibuni tuketi tuanze mazungumzo.. Hatuna muda wa kuupoteza tena.. Tunapaswa kujua hii ishu yote kuanzia mwanzo hadi mwisho..
No comments:
Post a Comment