
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) SEHEMU 3 Sasa ile nimetoka tu nje ya ule mlango, na hapo ilikuwa ni tayar asubuh, nikakutana na Yule dada ambae alikuja na mama yake Yule kijana, ambae hata sikuw namjua jina lake kisha akaniambia “ najua una maisha magumu na umekuja hapa kuchukua pesa za mwanaume wangu, yaan wanawake wengine hata akili ya kujiongeza hawana, unavyoona kuwa huyu mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mchafu na unaenuka dhiki kama wewe, mackmill ni wangu na daima atakuwa wangu kwenye maisha yangu yote, akasema kwa kijitapa… Kiukweli sikutaka hata kubishana nae,
No comments:
Post a Comment