
????NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 21, 22, Endeleanayo..... * Dayana alitoa macho kama mjusi kabanwa na Mlango, Aliinuka kwa hasira na kwenda chumbani kwa Frenk huku anahema utadhani anakimbuzwa.. ******* ******* " "" "" Weeeeeehhhhh Frenk, Mpuuuuzzziiiiiiii weweeeeee... Weeee frenk weweeeee.. Aliongea Dayana kwa ukali huku anapiga hatua kunifuata kitandani nilipokuwa nimejilaza.. * * ***** Nilibaki nimeduwaa nisielewe anamaanisha nini yule binti.. Niliinuka na kukaa kitandani huku naendelea kumtazama... Alinifikia na kunizaba kofi zito shavuni huku ananitolea macho kwa hasira hadi machozi yanamtoka.... "" "" kuna nini dayana mbona mimi sikuelewi jamani. Niliongea kwa sauti ya upole nikiwa naamini lazima
No comments:
Post a Comment